Karibu tena

Chagua fomu sahihi hapo chini ili kutoa taarifa za madhara ya dawa, vipodozi au vifaa tiba

Madhara ya dawa (Jamii)

Toa taarifa juu ya madhara ya dawa, vipodozi ama vifaa tiba ulivyotumia

Ripoti tuhuma ya dawa (jamii)
Madhara ya dawa (Wataalumu wa Afya)

Toa taarifa za athari za dawa, vipodozi ama kifaa tiba aliotumia mtuhumiwa

Ripoti tuhuma ya dawa (mtaalamu wa Afya)
Chanjo

Toa taarifa za madhara ya chanjo yoyote uliopatiwa Zanzibar

Ripoti Chanjo
Ubora wa Bidhaa

Toa taarifa ya bidhaa zisizo na ubora na viwango

Ripoti Bidhaa